logo
swahili
53:30
Ulimwengu
Holy Redemption: Kunyakua Ardhi ya Palestina
"Ikiwa tutahitaji kuwaua wote, tutawaua" Filamu ya uchunguzi ya hali halisi ya TRT World, Holy Redemption, inafichua itikadi kali ya walowezi wa Kiyahudi wenye silaha ambao wanalenga kuwafurusha Wapalestina kutoka Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu. Filamu hii ilitengenezwa wakati timu yetu ilijipenyeza ndani mwa kundi la "Daesh ya Israeli" ambalo "liko tayari kwa mauaji makubwa" dhidi ya Wapalestina.
Tazama Video zaidi
Kenya na mabaki na makovu kutoka kwa mateso ya Malaika wa Kuzimu wa BATUK
Mali yapokea vifaa vya kijeshi kutoka Uturuki kwa ajili ya kupambana na ugaid
Morara Kebaso, wakili mwanaharakati nchini Kenya, anavyotumia mitandao ya kijamii kuikosoa serikali
Ushirikiano wa Uturuki na nchi za Kiafrika
Jumba la makumbusho ya Maradona
Je, unaijua ndoto ya 'Israeli Kubwa'?
Vimbunga, dhoruba za kitropiki na taifuni ni nini?
Malkia wa Taarab Khadija Kopa ni nani?
P Diddy na Masaibu Yake
Biashara Hewa ya Dhahabu Nchini Kenya
Kionjo cha TRT Global. Tupe mrejesho wako.
Contact us