Dondoo za TRT Afrika | 30 MeiDondoo za TRT Afrika | 30 Mei
Chama cha CCM Tanzania chafanya maboresho ya katiba yake na kundi la Hamas lasema pendekezo la Israeli la kusitisha mapigano halikidhi matakwa yake.Chama cha CCM Tanzania chafanya maboresho ya katiba yake na kundi la Hamas lasema pendekezo la Israeli la kusitisha mapigano halikidhi matakwa yake.
Vichwa vya habari:
Chama cha CCM Tanzania chafanya maboresho ya katiba yake
Kundi la Hamas lasema pendekezo la Israeli la kusitisha mapigano halikidhi matakwa yake
Bendera ya Marekani yapeperushwa tena Syria tangu 2012
Wakorea Kusini wajitokeza kwa wingi kupiga kura
Uturuki yasindikiza meli ya uzalishaji gesi kuelekea Bahari Nyeusi