Kwa ufupi tu
swahili
swahili
MAKALA MAALUM
Afrika itaathiriwa vipi na mashambulizi ya Israeli dhidi ya Iran?
Maendeleo hayo ya mzozo yanamaanisha hatari nyengine kubwa ya kijiografia na kisiasa ambayo lazima yataathiri Afrika.
SIASA
UTURUKI
AFRIKA
JARIDA
MAONI
MICHEZO
Makala kuu wiki hii
Uraibu uliofichwa kwa peremende: Mapambano ya Afrika kuzuia vijana dhidi ya nikotini yenye ladha
Afrika inakabiliana na vita dhidi ya bidhaa za tumbaku zenye ladha ambazo huongeza uraibu miongoni mwa vijana wakiona kama starehe isiyo na madhara.
Na
Pauline Odhiambo
Mbatian, Laibon mashuhuri wa Wamaasai
Hadithi ya Mbatian si historia tu. Ni unabii. Na bado inasikika katika upepo wa Bonde la Ufa
Kwanini 'kazi za pembeni' zimekuwa kitu cha kawaida kwa Wakenya wa pato la wastani
Kwa mujibu wa ripoti ya Geopol iliyofanyia utafiti sekta ya biashara na ajira nchini Kenya, asilimia 71 ya Wakenya walio katika ajira wanafanya biashara za pembeni.
Nigeria inayoathiriwa na mafuriko yatafuta suluhisho la kudumu kwa ukosefu wa maji
Tatizo la maji nchini Nigeria limekuwa likizidi kila uchao, kwani miundombinu iliyopo imefanya watu kutegemea visima vya gharama kubwa ambavyo mara nyingi havina maji, hali inayowafanya kutegemea wafanyabiashara wanaouza maji.
Na
Abdulwasiu Hassan
Jinsi ruzuku kusomea Uturuki ilivyosaidia mageuzi ya biashara ya kahawa ya Somalia
Ufadhili wa masomo huko Uturuki ulimsaidia mwanafunzi wa Kisomali kugeuza shida kuwa fursa, na kuandaa njia kwa mapinduzi ya kahawa ambayo yangeanzisha ujasiriamali sawa katika taifa lake.
Makala ya Siasa
Safari ya bara la Afrika na mabadiliko ulimwenguni
Susan Mwongeli na Millicent Akeyo
Mzigo wa Burundi: Wakimbizi wa DRC waliokwama katikati ya vita na majanga
Pauline Odhiambo
Hofu na matumaini, vita vya Sudan vikiingia mwaka wa tatu
Sylvia Chebet
Picha: Mahujaji waondoka kwenda Muzdalifah kufanya ibada ya kutupa mawe wakati Hajj inakamilika
Ibada ya mwisho ya ziyara inaungana na Eid al-Adha, ambapo zaidi ya waumini milioni 1.6 wameshiriki katika Hajj ya mwaka huu chini ya usalama mkali.
Utajiri wa Afrika: Misri, kinara wa ufugaji samaki
Sekta hii inakadriwa kuwa na thamani ya zaidi ya dola za Marekani bilioni 3.5 huku ikitoa ajira kwa zaidi ya watu 300,000.
Na
Coletta Wanjohi
Kakuma: Jinsi kambi ya wakimbizi ya Kenya inavyopigia upatu nishati safi
Mapambano ya kambi ya wakimbizi dhidi ya njaa na ukataji miti huibua mapinduzi endelevu ya nishati zilizotengenezwa kutokana na taka.
DRC yawarudisha sokwe walio hatarini kutoweka katika Hifadhi ya Kitaifa ya Virunga
Sokwe wa mashariki waliorejeshwa wanatarajiwa kutoa nyongeza muhimu ya kinasaba kwa idadi ndogo, iliyotengwa ya wanane pekee wanaoishi kwenye Mlima Tshiaberimu.
Ihram katika Hajj: Kwa nini mahujaji wa Kiislamu huvaa shuka jeupe?
Takriban Waislamu milioni mbili kutoka kote duniani wanatazamiwa kuhudhuria ibada ya Hajj ya mwaka huu nchini Saudi Arabia. Jambo moja la kuvutia zaidi ni shuka jeupe linalovaliwa na mahujaji linalojulikana kama Ihram.
Mambo ya kujifunza kutoka kwa Maisha ya mwanafasihi Ngugi wa Thiong'o
Ngũgĩ wa Thiong'o, ambaye alifariki Mei 28 akiwa na umri wa miaka 87, alikuwa gwiji wa fasihi ya Kiafrika - msimulizi wa hadithi ambaye alifungwa jela, na baadaye kwenda kuishi uhamishoni.
Na
Aisha Haji
Uganda yakaribisha mahujaji Wakristu wa Namugongo
Namugongo nchini Uganda ina mojawapo ya maeneo makubwa zaidi ya Hija ya Kikristo barani Afrika kwa ajili ya kuwakumbuka Waanglikana 23 na wengine 22 wa Kikatoliki ambao waliuawa kati ya 1885 na 1887 kwa amri ya mfalme wa Buganda, Kabaka Mwanga II.
Waandishi
Edward Josaphat Qorro
Koitalel Arap Samoei aendeleza alipoachia baba yake
1 dk kusoma
Vita mara mbili: Wasudan washikwa katika njia panda ya vita na kipindupindu
5 dk kusoma
Coletta Wanjohi
Utajiri wa Afrika: Wafahamu Sili wa kahawia kutoka Afrika Kusini
2 dk kusoma
Soka yarejea Somalia: Eto'o, Adebayor, Okocha waingia uwanjani
3 dk kusoma
Marufuku ya wamiliki wa usafiri wa umma inavyoathiri vipato vya wasafirishaji binafsi
Uganda imepitisha sera mpya ya serikali ya kupiga marufuku wawekezaji binafsi katika usafiri wa umma. Sera hiyo mpya inafuatia kuongezeka kwa ajali za barabarani ambazo zinahusishwa na magari yaliyo katika hali hatari ya kiufundi na utovu wa nidhamu
Kionjo cha TRT Global. Tupe mrejesho wako.