Wako wapi wachezaji wa Kiafrika waliong'aa enzi zao katika ligi ya NBA ya mpira wa kikapu?
Tuangalie baadhi ya wachezaji wa Kiafrika ambao walikuwa kwenye ligi ya NBA, tupate kufahamu wako wapi sasa hivi.Tuangalie baadhi ya wachezaji wa Kiafrika ambao walikuwa kwenye ligi ya NBA, tupate kufahamu wako wapi sasa hivi.