logo
swahili
Dondoo za TRT Afrika | 12 Juni
03:28
03:28
Afrika
Dondoo za TRT Afrika | 12 Juni
Waziri wa Fedha wa Kenya, kuwasilisha bajeti leo, huku akiepuka ushuru mpya ulioibua maandamano makubwa mwaka jana na Afisa Mkuu wa Kituo cha Polisi jijini Nairobi, amekanusha madai ya kuhusika na mauaji ya Albert Ojwang.

Vichwa vya habari:

  • Waziri wa Fedha wa Kenya, kuwasilisha bajeti leo, akiepuka ushuru mpya ulioibua maandamano makubwa mwaka jana

  • Afisa Mkuu wa Kituo cha Polisi jijini Nairobi, amekanusha madai ya kuhusika na mauaji ya Albert Ojwang

  • Israeli yauwa Wapalestina 80 wakiwemo walioukuwa wanatafuta misaada

  • Jaji wa Marekani anasema Trump hawezi kumweka kizuizini Mahmoud Khalil

  • Uturuki kuiuzia Indonesia ndege 48 za kivita za KAAN

Sikiliza zaidi
Kionjo cha TRT Global. Tupe mrejesho wako.
Contact us