11 Julai 2025
Unafahamu taifa la Cameroon, ni taifa ambalo liko Afrika ya Kati na lina idadi ya watu zaidi ya milioni 30. Nchi hiyo imekuwa na rais mmoja tangu mwaka 1982.
Rais wa Cameroon ni Paul Biya ambaye amekuwepo kwenye wadhifa huo kwa zaidi ya miaka 40.