AFRIKA
2 DK KUSOMA
Uchaguzi DRC 2023: Katika Picha kutoka jiji la Kinshasa
Zaidi ya wapiga kura milioni 40 wa DRC wanajiandaa kujitokeza Disemba 20 na kuchagua viongozi wao kuanzia ngazi ya urais, ubunge na madiwani. Shauku kubwa iliyopo miongoni mwa wananchi ni uchaguzi huo kufanyika kwa amani.
Uchaguzi DRC 2023: Katika Picha kutoka jiji la Kinshasa
Kuelekea uchaguzi wa DRC Disemba 20, raia wa nchi hiyo wakiendelea na majukumu yao ya kila siku. Wengi wameiambia TRT Afrika, hamu yao ya kuona uchaguzi ukifanyika kwa amani na uhuru, huku wakisisitiza kwa yeyote atakae ingia madarakani kuhakikisha ana tatua changamoto za nchi ikiwemo kudumisha hali ya usalama hasa mashariki mwa nchi hiyo. Umoja wa Mataifa umeahidi kuisaidia Tume ya Uchaguzi nchini humo kusambaza baadhi ya vifaa vya kupigia kura katika baadhi ya maeneo ya nchi.  Picha/TRT Afrika.  / Others
Kionjo cha TRT Global. Tupe mrejesho wako.
Contact us