Jeshi la Somalia lawaua magaidi wa al-shabaab wasiopungua 25
Rwanda, DRC yakubaliana kuhusu rasimu ya makubaliano ya amani
Watu zaidi ya 700 hawajulikani waliko baada ya mafuriko nchini Nigeria
Mataifa ya Israel na Iran yaendelea kushambuliana kwa siku ya saba
Hakuna mabadiliko katika viwango vya riba vya Marekani
Dondoo za TRT Afrika | 19 Juni
Wapiganaji wasiopungua 25 wa kundi la al-Shabaab wauawa na jeshi la Somalia na Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yakubaliana kuhusu rasimu ya amani