Opinion
Jinsi Saudi Arabia inavyoandaa Hajj katika kipindi cha joto kali
Tahadhari zimekuchukuliwa ili kupunguza athari za joto nchini Saudi Arabia, wakati ambapo mamilioni ya mahujaji kutoka sehemu mbalimbali wapo nchini humo kuanza ibada hiyo muhimu. Hata hivyo, wataalamu wa afya wanasema maandalizi binafsi ni muhimu.