14 Mei 2025

13:17

13:17
Tazama Video zaidi
Kenya na mabaki na makovu kutoka kwa mateso ya Malaika wa Kuzimu wa BATUK
Kikosi cha BATUK kilikita kambi nchini Kenya kuanzia mwaka 1964, ambako wamegeuza sehemu ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki kama eneo lao kufanyia mazoezi ya wiki nane kila mwaka.
Tazama Video zaidi