Topic - Small Live Coverage
Opinion
Uganda yakaribisha mahujaji Wakristu wa Namugongo
Namugongo nchini Uganda ina mojawapo ya maeneo makubwa zaidi ya Hija ya Kikristo barani Afrika kwa ajili ya kuwakumbuka Waanglikana 23 na wengine 22 wa Kikatoliki ambao waliuawa kati ya 1885 na 1887 kwa amri ya mfalme wa Buganda, Kabaka Mwanga II.