Vichwa vya habari:
Aliyekuwa Jaji Mkuu Kenya, David Maraga ameikosoa serikali kwa kutochukua hatua, kufuatia kukamatwa kwa Boniface Mwangi jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje nchini Kenya amesema juhudi za kidiplomasia zinaendelea ili Boniface Mwngi aachiliwe.
Trump alionesha nyaraka za DRC akidai kuwa ni ushahidi wa mauaji ya halaiki dhidi ya wazungu nchini Afrika Kusini.
Mahakama jijini Dakar imemtia hatiani waziri wa zamani wa madini wa Senegal, Aissatou Sophie Gladima kwa tuhuma za rushwa.
Mashambulizi ya anga ya Israeli yawaua Wapalestina 79 kote Gaza.