
04:42
Sura ya Waislamu katika BollywoodSura ya Waislamu katika Bollywood
Tasnia ya filamu za Kihindi ya India, imekuwa ikitengeneza filamu kwa zaidi ya miaka 100. Filamu hizi hazitumiki kwa burudani tu - zinatuonyesha jinsi jamii ya India inavyojiona. Kwa hiyo, je, picha ya Waislamu katika Bollywood imeakisi vipi mabadiliTasnia ya filamu za Kihindi ya India, imekuwa ikitengeneza filamu kwa zaidi ya miaka 100. Filamu hizi hazitumiki kwa burudani tu - zinatuonyesha jinsi jamii ya India inavyojiona. Kwa hiyo, je, picha ya Waislamu katika Bollywood imeakisi vipi mabadili