Vichwa vya habari:
Serikali ya Kenya yafunga zaidi ya hospitali 1000
Mwanblogu Albert Ojwang kuzikwa leo, usalama umeimarishwa
Iran imetanganza kufungua tena anga yake baada ya vita kati yake na Israel
Hija ya Kihindu huanza katika Kashmir inayosimamiwa na India
Mke wa Rais wa Uturuki, atoa wito wa kugawana mzigo wa janga la tabia nchi