logo
swahili
02:08
Afrika
Uganda: Hija ya Wakristu Namugongo
Uganda imekuwa mwenyeji wa mahujaji kutoka sehemu tofauti duniani.

Juni 3 ya kila mwaka, waumini wa Kanisa Katoliki na waprotestanti hukutana katika Madhabahu ya Namugongo, maarufu Uganda Martyrs Shrine Namugongo.

Hapo ndipo hufanyia ibada kila mwaka, wakiwakumbuka Waanglikana 23 na Wakatoliki 22, ambao waliuawa kati ya 1885 na 1887 kwa amri ya mfalme wa Buganda, Kabaka Mwanga II.

Tazama Video zaidi
Hajj 2025: Mahujaji wakusanyika Mlima arafat kwa kilele cha Hajj
Kwa nini Waislamu wanastahabu kuzikwa Makkah?
Utajiri wa Afrika: Sili wa Afrika Kusini
Mwanafasihi maarufu Afrika Mashariki Ngugi Wa Thiong’o afariki dunia
Askofu Gwajima 'aliamsha dude'
Tatizo la gharama ya mitihani ya kitaifa Kenya
Fahari ya Afrika: Ziwa Turkana
Kenya yaitaka Tanzania kumuachia mwanaharakati Boniface Mwangi
Mansa Musa: Mfalme wa Dhahabu
Kwa nini Francis Atwoli anapingwa?
Kionjo cha TRT Global. Tupe mrejesho wako.
Contact us