logo
swahili
03:04
Afrika
Askofu Gwajima 'aliamsha dude'
Mwanasiasa na Askofu maarufu wa Tanzania, Josephat Gwajima amezua gumzo baada ya kujitokeza hadharani na kuonesha kusikitishwa kwake kutokana na matukio ya utekaji, upoteaji na vifo vya watu vinavyoendelea kuripotiwa nchini humo.

Mbali na Gwajima kueleza kwa kina dukuduku lake hilo lakini pia alitoa ushauri kwamba ni vyema sheria ya kuwalinda viongozi wa ulinzi na usalama katika utekelezaji wa majukumu yao.

Tazama Video zaidi
Hajj 2025: Mahujaji wakusanyika Mlima arafat kwa kilele cha Hajj
Uganda: Hija ya Wakristu Namugongo
Kwa nini Waislamu wanastahabu kuzikwa Makkah?
Utajiri wa Afrika: Sili wa Afrika Kusini
Mwanafasihi maarufu Afrika Mashariki Ngugi Wa Thiong’o afariki dunia
Tatizo la gharama ya mitihani ya kitaifa Kenya
Fahari ya Afrika: Ziwa Turkana
Kenya yaitaka Tanzania kumuachia mwanaharakati Boniface Mwangi
Mansa Musa: Mfalme wa Dhahabu
Kwa nini Francis Atwoli anapingwa?
Kionjo cha TRT Global. Tupe mrejesho wako.
Contact us