logo
swahili
02:01
Afrika
Tatizo la gharama ya mitihani ya kitaifa Kenya
Kumekuwa na madai nchini Kenya kwamba serikali haina pesa za kugharamia mitihani ya kitaifa au inataka wazazi walipie gharama za mitihani hiyo.

Wengi kupitia mitandao ya kijamii wameanza kuilaumu serikali na kusema kuwa hizo ni njama za ubadhirifu wa fedha zinazopangwa kufanywa na serikali.

Lakini sasa serikali imejitokeza na kutoa ufafanuzi kuhusu madai hayo huku ikihakikisha kuwa kuna fedha za kutosha za kugharamia mitihani hiyo.

Tazama Video zaidi
Hajj 2025: Mahujaji wakusanyika Mlima arafat kwa kilele cha Hajj
Uganda: Hija ya Wakristu Namugongo
Kwa nini Waislamu wanastahabu kuzikwa Makkah?
Utajiri wa Afrika: Sili wa Afrika Kusini
Mwanafasihi maarufu Afrika Mashariki Ngugi Wa Thiong’o afariki dunia
Askofu Gwajima 'aliamsha dude'
Fahari ya Afrika: Ziwa Turkana
Kenya yaitaka Tanzania kumuachia mwanaharakati Boniface Mwangi
Mansa Musa: Mfalme wa Dhahabu
Kwa nini Francis Atwoli anapingwa?
Kionjo cha TRT Global. Tupe mrejesho wako.
Contact us