Juni 3 ya kila mwaka, waumini wa Kanisa Katoliki na waprotestanti hukutana katika Madhabahu ya Namugongo, maarufu Uganda Martyrs Shrine Namugongo.
Hapo ndipo hufanyia ibada kila mwaka, wakiwakumbuka Waanglikana 23 na Wakatoliki 22, ambao waliuawa kati ya 1885 na 1887 kwa amri ya mfalme wa Buganda, Kabaka Mwanga II.

02:08

02:08
Tazama Video zaidi
Uganda: Hija ya Wakristu Namugongo
Uganda imekuwa mwenyeji wa mahujaji kutoka sehemu tofauti duniani.
Tazama Video zaidi