ULIMWENGU
1 DK KUSOMA
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa laitisha kikao cha dharura baada ya mashambulizi ya Israeli huko Rafah
Israeli imeua Wapalestina 36,050, wakiwemo watoto na wanawake na kujeruhi wengine 81,026 huku mashambulizi yake dhidi ya Gaza yakiingia siku ya 235.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa laitisha kikao cha dharura baada ya mashambulizi ya Israeli huko Rafah
Miili ya Wapalestina wakiwemo watoto wachanga baada ya kuuwawa na majeshi ya Israeli katika kambi ya Nuseirat, mjini Gaza, Mei 27, 2024. / Picha: AA   / Others
Kionjo cha TRT Global. Tupe mrejesho wako.
Contact us