tokea masaa 12
Vichwa vya habari:
Baraza la Mawaziri la Rwanda laidhinisha makubaliano ya Amani kati ya DRC na Rwanda
Eswatini inasema wafungwa waliofukuzwa Marekani siyo tishio kwa umma
Israeli yafanya mashambulio makali dhidi ya Syria
Israel yawaua watu 68 huko Gaza wakiwemo wanaotafuta misaada
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuku amelaani mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza