logo
swahili
Janga la unene
07:07
07:07
Maisha
Janga la unene
Katika muda wa miaka 25 tu, mtu mzima mmoja kati ya watu wawili anaweza kuwa na unene wa kupitiliza.
10 Julai 2025

Hiyo ina maana kwamba mimi au wewe tunaweza kuwa miongoni mwao.  

Utafiti mpya unaonyesha kwamba iwapo hakutakuwa na mabadiliko makubwa katika mfumo wa maisha, basi takriban asilimia 60 ya watu duniani kufikia mwaka 2050 watakuwa na unene wa kupitiliza. 

Takwimu zinatabiri kwamba theluthi moja ya vijana wanene wanaweza kutoka Afrika Kaskazini, Mashariki ya Kati, Amerika Kusini na nchi za Karibiani. 

Lakini sio hilo tu, utafiti unataka hatua zaidi zichukuliwe ili kubadilisha mifumo ya afya kote ulimwenguni. 


Sikiliza zaidi
Dondoo za TRT Afrika Swahili | 14 Julai 2025
Sura ya Waislamu katika Bollywood
Unaijua homa ya ndege?
Palestina ya Marekani
Lugha ya Hisia
Je, miaka ni nambari tu?
Urembo kwenye mitandao ya kijamii unaathiri vipi wasichana?
Kutoka mtoni hadi baharini, Palestina itakuwa huru
Kilimo kwenye sayari
Kionjo cha TRT Global. Tupe mrejesho wako.
Contact us