
03:08
03:08
Sikiliza zaidi
Dondoo za TRT Afrika Swahili | Juni 24 2025
Watu 6 kushtakiwa wakiwemo polisi 3 kwa mauaji ya mwanablogu aliyefia kizuizini na Rais wa Uganda Yoweri Museveni atawania kuchaguliwa tena kwa muhula mwingine katika uchaguzi unaotarajiwa mapema mwaka ujao
Sikiliza zaidi