25 Julai 2025
Vichwa vya habari:
Algeria yaeleza wasiwasi wake kuhusu hatua ya Ufaransa kwa wanadiplomasia
Mahakama ya ICC yawapata na hatia viongozi wawili wa zamani wa CAR
Waziri wa Marekani ashtumu hatua ya Ufaransa kutambua Palestina
Idadi ya waandishi waliouawa Gaza yafikia 232
Rambirambi zatolewa kufuatia kifo cha mkali wa mieleka Hulk Hogan