7 Agosti 2025
Vichwa vya habari:
Salamu za rambirambi zaendelea kutolewa kufuatia kifo cha aliyekuwa spika wa Bunge la Tanzania
Umoja wa Afrika wahuzunishwa na ajali ya helikopta Ghana
Israel yaua Wapalestina 25 waliokuwa wakisubiri msaada wa chakula
Jeshi la Israel latakiwa kufuata maagizo kuhusu Gaza
Trump anaonya juu ya vikwazo zaidi baada ya kuilenga India na ushuru