21 Agosti 2025
Vichwa vya habari:
Watu wasiopungua 22 wanaaminika kufariki baada ya boti kuzama Nigeria
Uganda yakanusha kukubali kuwapokea watu waliofukuzwa kutoka Marekani
UN imelaani hatua ya Israel kuidhinisha makaazi mapya katika Ukingo wa Magharibi
China, Pakistan na Afghanistan zimekutana kuimarisha uhusiano
“Jaji mzuri zaidi duniani'' Frank Caprio amefariki