Vichwa vya habari:
Mahakama kuu ya Tanzania inaendelea kusikiliza kesi ya Tundu Lissu
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuhutubia na kuhitimisha shughuli za bunge la 12
DRC na Rwanda kutia saini makubaliano ya amani nchini Marekani
Kiongozi wa upinzani wa Israel ataka vita vya Gaza kusitishwa baada ya kushindwa kufikia malengo yake
Mazungumzo kati ya Urusi na Ukraine kufanyika tena Istanbul