logo
swahili
BURUDANI NA SANAA
Miaka 25 ya Lady JayDee ndani ya tasnia ya muziki barani Afrika
Gwiji huyu wa Bongo Fleva mwenye tuzo nyingi za muziki, ndani na nje ya Tanzania, alizaliwa miaka 45 iliyopita huko mkoani Shinyanga.
Miaka 25 ya Lady JayDee ndani ya tasnia ya muziki barani Afrika
Sanaa za maonesho zinavyosaidia wakimbizi wa Burundi kurejea makwao
Serikali ya Tanzania imekuwa ikitoa hifadhi kwa zaidi ya wakimbizi zaidi ya 110,000 kutoka Burundi, ambao wanaishi kati kambi za Nyarugusu na Nduta zinazopatikana katika mkoa wa Kigoma.
Sanaa za maonesho zinavyosaidia wakimbizi wa Burundi kurejea makwao
Tamasha la kitamaduni la wanafunzi Kenya laanza kwa bashasha
Hii ni awamau ya 63 ya tamasha hilo linalohusisha wanafunzi kuanzia shule za chekechea hadi vyuo vikuu, ambapo mwaka huu kauli mbiu yake ni kutumia 'Teknolojia Kukuza Talanta'
Tamasha la kitamaduni la wanafunzi Kenya laanza kwa bashasha
Mwanamuziki wa Reggae Cocoa Tea afariki dunia
Cocoa Tea, ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 65, atakumbukwa kwa nyimbo zake maarufu kama vile 18 and Over (Young Lover) na Hurry Up and Come.
Mwanamuziki wa Reggae Cocoa Tea afariki dunia
Mawigi yapigwa marufuku katika mashindano ya urembo Côte d'Ivoire
Waandaji wa mashindano ya Miss Côte d'Ivoire wamepiga marufuku washiriki kuvaa mawigi na kuongeza nywele za bandia ili kusisitiza "urembo asili wa Kiafrika'', jambo lililozua mjadala mkubwa.
Mawigi yapigwa marufuku katika mashindano ya urembo Côte d'Ivoire
Dunga, muigizaji anayekuza lahaja adimu ya kibajuni
Mfahamu Ahmed Ali Hassan, maarufu Dunga, muigizaji aliyepata umaarufu katika pwani ya Kenya. Umaarufu huo umetokana na ukuzaji wake wa lahaja ya kibajuni kupitia mitandao ya kijamii.
Dunga, muigizaji anayekuza lahaja adimu ya kibajuni
Kionjo cha TRT Global. Tupe mrejesho wako.
Contact us