tokea masaa 5
Kulingana na Waziri wa Utalii Tanzania Dkt. Pindi Chana, faru weupe ni kati ya wanyamapori walio hatarini kutoweka na hivyo kuorodheshwa kwenye makundi ya wanyamapori na mimea inayolindwa na Mkataba wa Kimataifa wa Biashara ya Wanyamapori na Mimea iliyo hatarini kutoweka (CITEs).