Sherehe ya Pasaka: Mamilioni ya Wakristu duniani wanaadhimisha siku kuu ya pasaka.
Sherehe ya Pasaka: Mamilioni ya Wakristu duniani wanaadhimisha siku kuu ya pasaka.
Wengi walikusanyika katika makanisa au viwana vya kuabudu na wengine wamekesha katik akutimiza tamaduni zinazoambatana na maadhimisho ya kusulubiwa kwa Yesu Kristu na kufufuka kwake.
Kionjo cha TRT Global. Tupe mrejesho wako.
Contact us