8 Agosti 2025
Vichwa vya habari:
Ajali ya treni na basi dogo yaua watu 8 nchini Kenya
UAE imekana shutuma zilizoelekezwa kwake na jeshi la Sudan
Baraza la Usalama la Israel limeidhinisha mpango wa kuuteka mji wa Gaza
Marekani kutoa zawadi ya milioni $50 kwa atakayetoa taarifa za Rais wa Venezuela
Trump: Uamuzi wa kustisha vita vya Urusi na Ukraine uko kwa Putin