11 Julai 2025
Vichwa vya habari:
Rais William Ruto atangaza rasmi uteuzi wa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi
Mwanaharakati Malala Yousafzai yuko nchini Tanzania kuhimiza elimu kwa wasichana
Uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu unaendelea Sudan - ICC
Iran yasema ushirikiano wa nyuklia unategemea IAEA kukomesha ubaguzi wa viwango viwili
Marekani kuzuia ufikiaji wa programu za manufaa kwa wahamiaji kulingana na sera za Trump