1 Agosti 2025
Vichwa vya habari:
Katibu Mkuu wa EAC, amezitaka nchi wanachama kutekeleza mikataba ya mpango wa soko la pamoja
Uturuki na Gabon zimekubaliana kushirikiana kijeshi
Trump: Janga la njaa huko Gaza ni baya, ameipuka kuilaumu Israel
Palestina inaipongeza hatua ya Canada, Malta na Ureno ya kulitambua taifa la Palestina
Urusi inaunga mkono Syria, inakataa uingiliaji wa kigeni