14 Julai 2025

03:26
03:26
Sikiliza zaidi
Dondoo za TRT Afrika Swahili | 14 Julai 2025
Rais wa Cameroon Paul Biya alisema Jumapili kwamba atawania muhula wa nane madarakani katika uchaguzi wa Oktoba na Angola, yagundua gesi katika uchunguzi wake wa kwanza wa gesi kwenye mwambao wa nchi hiyo.
Sikiliza zaidi