Wengi wakiwasili mapema kabla ya mapambazuko, Waislamu kutoka matabaka mbalimbali wataitumia siku nzima katika swala na dua katika siku ambayo inachukuliwa kuwa siku muhimu zaidi katika mwaka kwa kalenda ya Kiislamu.
Waislamu ambao hawako katika Hajj wanahimizwa kufunga saumu na kutumia siku hii katika ibada huku wakijiandaa kusherehekea Iddi na kuchinja siku inayofuata.

00:53

00:53
Tazama Video zaidi
Hajj 2025: Mahujaji wakusanyika Mlima arafat kwa kilele cha Hajj
Mamilioni ya mahujaji wanakusanyika leo Juni 5 katika Mlima Arafat nje ya jiji la Makkah ili kuadhimisha siku muhimu zaidi ya Hajj, Siku Ya Arafah.
Tazama Video zaidi