18 Julai 2025
Mwamba wa Ivory Coast Kolo Toure alivuma zaidi alipokuwa mchezaji katika Ligi Kuu ya England na timu yake ya taifa.
Kolo Abib Toure mwenye umri wa miaka 44 ndiye mchezaji wa pili kucheza katika timu ya Tembo mara nyingi zaidi amekipiga kwenye timu hiyo mara 120 kuanzia mwaka 2000 hadi 2015.