23 Agosti 2025
Ikisifika kwa bioanuwai na hazina za kihistoria zilizozama, maji ya visiwa hivyo vina maeneo ya kipekee ya kupiga mbizi, ikiwa ni pamoja na mabaki ya meli za Numidia na Aida II.
Numidia, meli ya mizigo ya Uingereza yenye urefu wa mita 138, ilizama mwaka 1901 ikisafirisha vifaa vya ujenzi.
Karibu yake pia kuna Aida II, ambayo ilizama baada ya kukumbwa na dhoruba.
Sasa matumbawe yameizunguka mabaki haya mawili ya meli, na kuyafanya makazi ya spishi tofuati za baharini.