29 Agosti 2025
Wanajulikana kama wauaji wa wababe, ni timu ya kisiwa chenye idadi ya watu zaidi ya milioni 30 imeshangaza wengi kufikia hatua ya fainali.
Madagascar, nchi inayoongozwa na Rais Andry Rajoelina, imefuzu kwa mara ya kwanza, kucheza mechi ya fainali ya CHAN.