logo
swahili
00:30
Afrika
Misri: Visiwa vya Al Ikhwa
Visiwa vya Al-Ikhwa, vilivyoko mchini Misri kusini mwa Bahari ya Sham, huvutia wapiga mbizi kutoka kote ulimwenguni.
23 Agosti 2025

Ikisifika kwa bioanuwai na hazina za kihistoria zilizozama, maji ya visiwa hivyo vina maeneo ya kipekee ya kupiga mbizi, ikiwa ni pamoja na mabaki ya meli za Numidia na Aida II.

Numidia, meli ya mizigo ya Uingereza yenye urefu wa mita 138, ilizama mwaka 1901 ikisafirisha vifaa vya ujenzi.

Karibu yake pia kuna Aida II, ambayo ilizama baada ya kukumbwa na dhoruba.

Sasa matumbawe yameizunguka mabaki haya mawili ya meli, na kuyafanya makazi ya spishi tofuati za baharini.

Tazama Video zaidi
Morocco: Simba kuunguruma fainali?
Madagascar yawaliza wababe uwanjani
Utajiri wa Afrika: Ndege Mbuni
CHAN 2024: Mashabiki wawabeba wenyeji
Video: Watalii Kenya watatiza msafara wa nyumbu Maasai Mara
Tanzania kuvuka kisiki cha Morocco?
Kenya, Tanzania kukutana CHAN?
McCarthy abeba matumaini ya 'Harambee Stars'
Sudan yaifungisha virago Nigeria
Ni ipi hatma ya Kenya, Uganda na DRC?
Kionjo cha TRT Global. Tupe mrejesho wako.
Contact us