29 Agosti 2025
Wanajulikana kama Simba kutoka Milima ya Atlas lakini pale kwenye ofisi za FIFA jijini Zurich, wanasomeka kama timu ya taifa ya Morocco.
Wanaingia kwenye uwanja wa Moi Kasarani Agosti 30 kama mabingwa mara mbili wa michuano ya CHAN, wakiwa wametwaa ndoo hiyo mwaka 2018 na 2020.