AFRIKA
1 dk kusoma
Tanzania kurudisha raia wake waliopo Israel na Iran
Hatua hii inafuatia mgogoro unaoendelea kati ya nchi hizo mbili ambazo hii ni wiki yake ya pili tangu kuanza kushambuliana kwa makombora ambayo yamesababisha uharibifu katika maeneo muhimu.
Tanzania kurudisha raia wake waliopo Israel na Iran
Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Mahmoud Thabit Kombo. Picha: Maktaba / AFP
Kionjo cha TRT Global. Tupe mrejesho wako.
Contact us