AFRIKA
1 dk kusoma
Askofu Gwajima 'aliamsha dude'
Mwanasiasa na Askofu maarufu wa Tanzania, Josephat Gwajima amezua gumzo baada ya kujitokeza hadharani na kuonesha kusikitishwa kwake kutokana na matukio ya utekaji, upoteaji na vifo vya watu vinavyoendelea kuripotiwa nchini humo.
Askofu Gwajima 'aliamsha dude' / TRT Afrika Swahili
Kionjo cha TRT Global. Tupe mrejesho wako.
Contact us