ULIMWENGU
1 dk kusoma
Hajj 2025: Mahujaji wakusanyika Mlima arafat kwa kilele cha Hajj
Mamilioni ya mahujaji wanakusanyika leo Juni 5 katika Mlima Arafat nje ya jiji la Makkah ili kuadhimisha siku muhimu zaidi ya Hajj, Siku Ya Arafah.
Hajj 2025: Mahujaji wakusanyika Mlima arafat kwa kilele cha Hajj / TRT Afrika Swahili
Kionjo cha TRT Global. Tupe mrejesho wako.
Contact us