25 Juni 2025
Wanaharakati pamoja na vijana nchini Kenya wanafanya maandamano tarehe 25 Juni 2025 kuwakumbuka wale waliouawa wakati wa maandamano kama hayo mwaka mmoja uliopita.