Hata hivyo, baadhi kumekuwa na mamalamiko kwamba fedha zinazotumwa haziendelezi miradi ipasavyo na huishia kuliwa na ndugu hivyo kuchangia umaskini zaidi kwa wanaoishi nje.
Hizi ni baadhi ya nchi ambazo zinaongoza kwa kupokea fedha zinazotumwa na raia wake waliopo diaspora.