Hata hivyo, katika nyimbo za wanamuziki kadhaa wa Jamaica, akiwemo Bob Marley, na Richie Spice, jina la Haile Selassie, mtawala wa zamani wa Ethiopia, hutajwa mara kwa mara.
Kuna uhusiano gani kati ya utamaduni wa Rastafari wa Jamaica na Ethiopia?