ULIMWENGU
1 DK KUSOMA
Kenya ifanyeje maiti zisizo chukuliwa?
Nchini Kenya, Miili ambayo haijachukuliwa na ndugu na jamaa zao imekuwa ikirundikana katika vyumba vya kuhifadhia maiti vya umma jijini Nairobi na kusababisha mamlaka kuweka mkataa na kutafuta kibali cha mahakama kwa ajili ya kuzika maiti hizo. Miili ambayo haijachukuliwa na ndugu na jamaa zao imekuwa ikirundikana katika vyumba vya kuhifadhia maiti vya umma jijini Nairobi na kusababisha mamlaka kuweka mkataa na kutafuta kibali cha mahakama kwa ajili ya kuzika maiti hizo.
KENYA IFANYEJE MAITIZISIZO CHUKULIWA? / Others
Kionjo cha TRT Global. Tupe mrejesho wako.
Contact us