ULIMWENGU
1 dk kusoma
Ni ipi hatma ya Iran?
Mpaka sasa, dunia inafuatilia kwa karibu mgogoro wa Iran-Israel, huku baadhi wakionya madhara yatakayotokea iwapo taifa la Iran litasambaratika.
Ni ipi hatma ya Iran? / TRT Afrika Swahili
20 Juni 2025

Kufuatia mashambulizi ya wiki moja kati ya Israel na Iran, taarifa za kiintelijensia zinaonyesha kuwa, mfumo wa ulinzi wa anga wa Israel umeanza kudhoofika, huku nchi hizo mbili zikifululiza mashambulizi katika maeneo muhimu ikiwemo ya nyuklia.

Mpaka sasa, dunia inafuatilia kwa karibu mgogoro huo, huku baadhi wakionya madhara yatakayotokea iwapo taifa la Iran litasambaratika.

Baadhi ya athari hizo ni pamoja na ukosefu wa usalama katika eneo la Hormuz ambalo ni njia kuu ya usafirishaji wa mafuta duniani.

Kionjo cha TRT Global. Tupe mrejesho wako.
Contact us