3 Julai 2025
Mashirika ya kijamii yamewasilisha ombi katika Mahakama Kuu Kenya kutaka Waziri wa Mambo ya Ndani atangazwe kuwa hafia kushikilia wadhifa wa umma
Polisi nchini Zambia wamewakamata raia wanne wa China na wengine watatu kwa kujaribu kuiba zink oksidi yenye thamani ya zaidi dola 45,000
Mawazri wa Israel wanamtaka Netanyahu kuiweka Ukingo wa Magharibi chini ya himaya yao
Mkuu wa Jeshi la Anga la Pakistan ametembelea Marekani kwa mara ya kwanza katika kipindi cha muongo mmoja
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Hakan Fidan amekutana na ujumbe wa Hamas jijini Ankara