MAKALA MAALUM
Makala kuu wiki hii
Afrika ilivyosuuzwa na sauti tamu na ya kuvutia ya Vanessa MdeeAfrika ilivyosuuzwa na sauti tamu na ya kuvutia ya Vanessa Mdee
Katika kukuza sanaa yake, mwaka 2017, Vanessa Mdee alianzisha lebo ya muziki iitwayo Mdee Music na mwaka mmoja baadaye kuachia albamu iitwayo "Money Mondays," iliyokuwa na ngoma kama "Kisela," "Juu" na "Wet".Katika kukuza sanaa yake, mwaka 2017, Vanessa Mdee alianzisha lebo ya muziki iitwayo Mdee Music na mwaka mmoja baadaye kuachia albamu iitwayo "Money Mondays," iliyokuwa na ngoma kama "Kisela," "Juu" na "Wet".
Na Paula Odek
Na Paula Odek
Miaka 25 ya Lady JayDee ndani ya tasnia ya muziki barani AfrikaMiaka 25 ya Lady JayDee ndani ya tasnia ya muziki barani Afrika
Gwiji huyu wa Bongo Fleva mwenye tuzo nyingi za muziki, ndani na nje ya Tanzania, alizaliwa miaka 45 iliyopita huko mkoani Shinyanga.Gwiji huyu wa Bongo Fleva mwenye tuzo nyingi za muziki, ndani na nje ya Tanzania, alizaliwa miaka 45 iliyopita huko mkoani Shinyanga.
Na Paula Odek
Na Paula Odek


Eneo la Tanzania linavyozidi kumezwa na bahariEneo la Tanzania linavyozidi kumezwa na bahariKulingana na Shirika la Utabiri wa Hali ya Hewa Duniani (WMO), wastani wa viwango vya vina vya bahari kina cha bahari duniani vimeongezeka kwa kasi zaidi katika karne ya 21 kuliko karne nyingine yoyote katika miaka 3,000 iliyopita.Kulingana na Shirika la Utabiri wa Hali ya Hewa Duniani (WMO), wastani wa viwango vya vina vya bahari kina cha bahari duniani vimeongezeka kwa kasi zaidi katika karne ya 21 kuliko karne nyingine yoyote katika miaka 3,000 iliyopita.
Makala ya Siasa


Mji wa Uturuki wa Gaziantep umeshinda Tuzo ya Ulaya 2025Mji wa Uturuki wa Gaziantep umeshinda Tuzo ya Ulaya 2025Tuzo ya Ulaya imeasisiwa mwaka 1955 na Baraza la Bunge la Ulaya, ni Tuzo ya juu kabisa kwa miji ya Ulaya.Tuzo ya Ulaya imeasisiwa mwaka 1955 na Baraza la Bunge la Ulaya, ni Tuzo ya juu kabisa kwa miji ya Ulaya.