Katika jamii ya wahehe, waishio Iringa mkoani Tanzania, jina la Mkwawa huashiria ushujaa na ujasiri.Makala hii maalum ya "Wanaovuma Afrika" itaangazia historia kwa kina kumhusu Chifu Mkwawa aliyetambulika kama kiboko wa Wajerumani.